SIMBA, YANGA HAWATAKI UTANI KWA MASHABIKI WAO
KLABU za Simba na Yanga hivi karibuni zimeingia makubaliano maalumu na Benki ya NMB kwa ajili ya kusajili wanachama na mashabiki wa klabu hizo zenye…
KLABU za Simba na Yanga hivi karibuni zimeingia makubaliano maalumu na Benki ya NMB kwa ajili ya kusajili wanachama na mashabiki wa klabu hizo zenye…
Rasmi Kiungo Mkabaji kutoka DR Congo, Yannick Bangala huenda asiwepo katika kikosi cha Young Africans cha msimu ujao hiyo ni mara baada ya jezi yake…
KAMA ulipanga kukosa kesho kwenye kilele cha wiki ya wananchi pale Uwanja wa Benjamin Mkapa. Badili akili yako,huo moto ulioko huko mazoezini siyo wakuukosa. Mastaa…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Angel Miguel Gamondi amesema ana matumaini makubwa na kikosi chake kuelekea msimu mpya 2023/24, ambao…
Baada ya taarifa za kuuzwa kwa nyota wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye anakwenda kujiunga na Pyramid ya Misri, mawazo sasa kwa uongozi wa mabingwa hao…
Nyota mpya wa Yanga,Mahlatse Makudubela’Skudu’ amesema hakuchagua kutumia jezi namba sita bali alichaguliwa. Skudu amezungumza hayo leo muda mfupi kwenye mkutano na waandishi wa habari…
NYOTA wa zamani wa kimataifa waliowahi kuwika Simba na Yanga, Edibily Lunyamila na Dua Said wameanika mtego ulioachwa na Fiston Mayele ndani ya Yanga wakidai…
HIKI kinachofanywa na Yanga sasa ni kukomoa. Baada ya kushusha winga kutoka DR Congo, Maxi Nzengeli aliyetoke AS Maniema anayesifika kwa chenga, kasi na kufunga.…
UONGOZI wa Simba umefafanua mbinu ilizotumia kuinasa saini ya kiungo Fabrice Ngoma ambaye alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi, Yanga. Nyota…