Latest Posts

WALIOIVURUGA REKODI YA YANGA WAPO SANA

NYOTA wawili walioivuruga rekodi ya Yanga kufikisha mechi 50 bila kufungwa ndani ya ligi bado wapo ndani ya Ihefu baada ya kuongezewa mkataba. Yanga ilicheza…

NAMBA 6 WA YANGA, BEKI AFUNGUKA BALAA LAKE

Mara baada Yanga kumtambulisha nyota wa Marumo Gallants, Mahlatse Makudubela, beki aliyekuwa akicheza naye, Mpho Mvelase ameeleza jinsi Yanga watakuwa wamelamba dume kutokana na ubora…

Habari za Simba leo

SIMBA WAMBEBA MSHAMBULIAJI HUYU WA AZAM FC

Wakati wakiwa wamebaki wachezaji wawili tu kujiunga kambini nchini Uturuki, uongozi wa Klabu ya Simba SC umeendelea kukiboresha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa 2023/24,…