BAADA YA SIMBA KUTAMBULISHA WACHEZAJI WAKE WAPYA, ROBERTINHO AWAPIGA MKWARA MZITO YANGA
SIMBA jana iliendelea kuwapa raha mashabiki wake kwa kutambulisha chuma kingine kipya, huku kocha mkuu wa timu hiyo aliyerejea juzi mchana akisema kwa majembe yaliyosajiliwa…