KWA MKAPA KUMEDODA…MECHI SIMBA NA YANGA MASHABIKI HAKUNA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Zikiwa zimebaki saa Chache kuanza kwa mtanange wa Simba na Yanga hali inaonekana kupoa nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa tofauti na ilivyozoeleka kwenye derby…
Zikiwa zimebaki saa Chache kuanza kwa mtanange wa Simba na Yanga hali inaonekana kupoa nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa tofauti na ilivyozoeleka kwenye derby…
Presha ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga imeanza kupanda na kushuka kwa wanachama na mashabiki wa timu hizo kongwe. Timu hizo zenye…
Mechi inayobeba chapa ya ligi ya Tanzania bara, zinakutana timu mbili ambazo zimekuwa na kiwango kizuri kinachoambatana na matokeo mazuri katika mechi zao za hivi…
HAYA ndio maajabu ya Stephane Aziz KI. Wakati ambao wadau na mashabiki wa Yanga wamekuwa wakiona kiwango chake kimeshuka kwa vipindi tofauti, nyota huyo wa…
Siku ya jana ulipigwa mchezo wa ligi kuu ya nchini Nigeria, ambapo uliwakutanisha Lobi Star na Rivers United ambapo Lobi Star waliondoka na Ushindi wa…
Mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga inaendelea kuwatoa watu jasho kila mmoja akielezea hali ya mchezo huo itakavyokuwa huku nahodha wa zamani wa…
Makocha na wachezaji waliowahi kuzitumikia Simba na Yanga, wanaitazama dabi ya Aprili 16 kwamba itaamuliwa na mbinu, nidhamu na utalivu kutokana na ubora wa vikosi…
Kueleka kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewaweka chini washambuliaji wake, Kennedy Musonda na…
Sakata la kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’ dhidi ya Yanga limeingia sura nyingine baada ya upande wa mchezaji huyo kuwasilisha barua…
Yanga inajiandaa kumalizana na Simba kwenye Kariakoo Derby, kisha kusafiri kwenda Nigeria kuvaana na Rivers United katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho…