IMEFICHUKA RASMI…MCHEZAJI HUYU BONGO NI MCHUNGAJI…ISHU NZIMA A-Z
KAMA ulikuwa hujui kumbe kiungo wa Singida Big Stars, Bruno Gomes ni kama mchungaji ndio maana anapofunga bao hufunua jezi yake na kuonesha kwenye fulana…
KAMA ulikuwa hujui kumbe kiungo wa Singida Big Stars, Bruno Gomes ni kama mchungaji ndio maana anapofunga bao hufunua jezi yake na kuonesha kwenye fulana…
KOCHA msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amefichua jambo akisema amezungumza na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ aliyeikaushia kambi ya Yanga…
Yanga hawataki kukifumua kikosi chao katika msimu ujao, na sasa wamebakiza wachezaji wawili kati ya watatu waliopanga kuwaongeza katika usajili wa msimu ujao. Timu hiyo,…
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mohamed Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika…
April 07, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
Kiungo wa Young Africans, Yannick Bangala Litombo ameutaja Uchawi wa klabu hiyo ambao umewafanya kuwika katika michuano ya kimataifa safari hii huku akiweka wazi kuwa…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Kenedy Musonda amesisitiza kwamba kuna moto unakuja kimataifa. Amesema walishafanya mengi ndani ya Tanzania sasa wanataka kutisha kimataifa haswa robo na nusu…
BEKI Pascal Wawa wa Singida Big Stars ameweka wazi kuwa mmoja wa washambuliaji ambao anawaona wana kitu kikubwa kwenye Ligi Kuu Bara ni Fiston Mayele…
Mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa alikuwa akitamani kukutana na timu ya Rivers United ya Nigeria katika hatua ya robo fainali ya…
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.…