NABI AWACHANA RIVERS UNITED…AWAPANIA HASWAA…AMEZUNGUMZA HAYA
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kwamba wana timu ambayo inaweza kupambana na yoyote kati ya hizo lakini akasema ungekuwa uwezo wake angeomba wapangwe…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kwamba wana timu ambayo inaweza kupambana na yoyote kati ya hizo lakini akasema ungekuwa uwezo wake angeomba wapangwe…
Droo ya hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho imemalizika nchini Misri kwa timu zinazowakilisha Tanzania Simba na Yanga kujua…
BAADA ya misimu miwili wazawa kuwapiku wageni kunyakua tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, awamu hii ni kama nyota njema inachomoza kwa mapro.…
FARID Mussa ndiye alikuwa shujaa akitokea benchi na kuifungia bao la ushindi Yanga dhidi ya TP Mazembe huku akisema ukuta wa wapinzani wao ulikuwa mgumu.…
BAADA ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Yanga, Kocha msaidizi wa timu hiyo Cedrick Kaze amesema wamefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya Kombe la…
YANGA ilikuwa jijini Lubumbashi na juzi usiku walitakiwa kurejea nchini baada ya kumalizana na wenyeji wao TP Mazembe katika mchezo wa kukamilisha ratiba lakini kuna…
YANGA imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu Andre Mtine kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika sambamba na Ligi ya Mabingwa Afrika.…
YANGA ina akili sana. Wakati juzi ikikamilisha ratiba ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kucheza na TP Mazembe, jijini Lubumbashi DR Congo, benchi…
Klabu za Simba na Yanga zimepanda katika viwango vya ubora kwenye michuano ya CAF baada ya kukamilika kwa hatua ya makundi ya michuano ya ligi…
Benchi la ufundi la Yanga limeanza mapema kusuka mipango ya kuicheza Kariakoo Derby itakayopigwa Aprili 16 kuanzia saa 11:00 Kwa Mkapa. Moja na mikakati hiyo…