Uncategorized

Ni Stand United, sio Kagera Sugar

admin May 29, 2019 10:41 am

Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Baada ya sintofahamu kutokea jana wakati ligi ilipomalizka. Stand United ya Shinyanga  wameshuka daraja baada ya kufungwa na JKT Tanzania kwa goli 2-0 na JKT Tanzania, na kwa mujibu wa taarifa kutoka Bodi ya Ligi, na si Kagera Sugar tena.

 

Timu mbili ambazo zitacheza playoff (Michezo ya mitoano ) ni Kagera Sugar aliyeshika nafasi ya 18 na Mwadui FC aliyeshika nafasi ya 17.

Mwadui na Kagera watacheza na Pamba FC ya Mwanza na Geita Sports ya Geita. Mshindi wa playoff atapanda ligi kuu Tanzania bara msimu ujao tena

The post Ni Stand United, sio Kagera Sugar appeared first on Kandanda.

MANULA AAHIDI JAMBO KUBWA LIGI KUU BARA NA CAF, AWAUMIZA YANGA – VIDEO BREAKING NEWS: BODI YA LIGI YAKIRI KUBORONGA, YAISHUSHA STAND UNITED, KAGERA YAENDA PLAY OFF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply