Home Uncategorized YANGA SASA NI BALAA, SIBOMANA AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA

YANGA SASA NI BALAA, SIBOMANA AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA


Klabu ya Yanga imeendelea kuonesha makucha yake baada ya kumalizana na kiungo Patrick Sibomana kutoka Rwanda.

Yanga imezidi kuboresha kikosi chake kutokana na wachezaji wengi kumaliza mikataba yao msimu huu uliomalizika.

Sibomana anakuwa mchezaji wa tatu kumwaga wino Yanga baada ya Papy Tshishimbi na Issa Bigrimana kumalizana na timu hiyo.

Usajili huu umekuwa pendekezo la Kocha Mwinyi Zahera ambaye amekabidhiwa majukumu ya kuhakikisha anapendekeza wachezaji wanaopaswa kusajiliwa.

SOMA NA HII  KIPIGO KUTOKA KWA WAZIMBABWE CHASEPA NA FURAHA YA MBELGIJI WA SIMBA