Uncategorized

BEKI SIMBA ASAINI YANGA

admin May 30, 2019 11:19 am


Uongozi wa klabu ya Yanga umemalizana na beki Lamine Moro kwa kusaini mkataba wa miaka miwili.

Moro ambaye ni raia wa Ghana, ambaye aliwahi kuja Simba kufanyiwa majaribio kipindi cha michuano ya SportPesa CUP, amefikia mwafaka kwa kusajiliwa na Yanga.


Beki huyo sasa atakuwa Jangwani mpaka mwaka 2021 akiihudumia timu hiyo ambayo ni bingwa wa kihistoria katika Ligi Kuu Bara.

Usajili huo unafanyika ikiwa ni jithada za Yanga kuongeza nguvu ndani ya kikosi chao tayari kwa maandalizi ya kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

YALIYOTOKEA MSIMU HUU YASIJIRUDIE KESHO, WACHEZAJI WAFUNDISHE ‘FAIR PLAY’ UWANJANI TPL NDO ISHAISHA HIVYO, HIYO RATIBA YA FA INATISHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply