Uncategorized

STRAIKA ZESCO UNITED AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA

admin June 2, 2019 9:29 am


Imeelezwa kuwa Mshambuliaji kimataifa kutoka Zambia na klabu ya Zesco United, Kalengo Maybin mwenye umri wa miaka 20, amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga.

Taarifa zinasema tayari beki huyo na klabu wameshamalizana tayari kwa maandalizi ya msimu mpya ujao wa 2019/20.

Usajili huo ni moja ya mapendekezo ya Kocha, Mwinyi Zahera ambaye ameamua kukiboresha kikosi chake kurejesha ubingwa wa ligi msimu ujao.

Mpaka sasa zaidi ya wachezaji nane wapya wameshamwaga wino ndani ya Yanga.

KIUNGO TEGEMO WA KIMATAIFA SIMBA ATANGAZA KUPOKEA OFA TATU ZA NJE – VIDEO SAMATTA: SIKUTARAJIA KUPEWA TUZO MBILI, KAZI INAANZA LEO NIFUATE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply