Home Uncategorized NI SIMANZI!! TARMBA AFIWA NA MTOTO WAKE MWINGINE USIKU HUU

NI SIMANZI!! TARMBA AFIWA NA MTOTO WAKE MWINGINE USIKU HUU


Ndugu zangu, mtoto wangu mwingine Aliasgher Tarimba Abbas, amefariki muda huu.

Maziko kesho saa 12.30 katika Msikiti wa Shia Ithnaasheri mjini

Karibuni tumsindikize mtoto wetu.

Na Tarimba Abbas

SOMA NA HII  YANGA YAMVUTIA KASI BEKI WA AS VITA