Home Uncategorized NYOTA WA AFRIKA WANAOKIPIGA PREMIER KATIKA NAMBA NA MABAO WALIYOPACHIKA KWENYE TIMU...

NYOTA WA AFRIKA WANAOKIPIGA PREMIER KATIKA NAMBA NA MABAO WALIYOPACHIKA KWENYE TIMU ZAO ZA TAIFA



MOHAMED Salah kwenye michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 anashika namba moja kwa mastaa wanaokipiga Premier League.

Anapeperusha Bendera ya Misri ameanza kuitumikia timu ya Taifa mwaka 2011 na mpaka sasa amecheza jumla ya mechi 62 na amepachika mabao 39.

VICTOR Wanyama anapewa namba mbili kwa mastaa wanaokipiga Premier Leagu

Sadio Mane
Riyad Mahrez
Christian Atsu
Wilfried Zana
Alex Iwobi

SOMA NA HII  MCHEZAJI UTURUKI AMUUA MTOTO, AJIPELEKA POLISI