Uncategorized

DULLY SYKES AMTAJA ALIYEMTUNGIA NGOMA YAKE YA NIKOMESHE

admin June 13, 2019 4:36 pm


MKONGWE katika gemu la Bongo Fleva, Dully Sykes,  amesema kuwa ngoma yake mpya ya Nikomeshe hajaitunga yeye bali ni ubunifu tu ameufanya kwenye kazi yake ya sanaa.

Nyota huyo wa muziki wa vijana, amesema amekuwa karibu na Harmonize kwa ajili ya kufanya muziki wa kibiashara.

“Katika wimbo wangu mpya na Harmonize wa Nikomeshe, ule kwanza sikutunga mimi, nilimwambia Harmonize anitengenezee wimbo wote,  mimi nilienda kuimba tu. Kwa hiyo ni ubunifu tu.
“Ukiona Harmonize ameweka katika ukurasa wake wa Youtube ile ni kazi, basi ujue ni yetu wote. Vidole viko vitano, unafikiri ukikata vinne kimoja kitakuwa na kazi gani?,” amesema Dully.
MAKUBWA ALIYOFUNGUKA OFISA MTENDAJI WA SIMBA LEO ‘WALE MABWEGE WAPO WAPI?” – VIDEO NYOTA WA AFRIKA WANAOKIPIGA PREMIER KATIKA NAMBA NA MABAO WALIYOPACHIKA KWENYE TIMU ZAO ZA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply