Home Uncategorized RIPOTI YA KOCHA RUVU SHOOTING YATUA MEZANI

RIPOTI YA KOCHA RUVU SHOOTING YATUA MEZANI


UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa umepokea ripoti ya kocha wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji hivyo kwa sasa wanaifanyia kazi taratibu.


Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa makosa waliyofanya msimu uliopita hayatajirudia tena hivyo lazima wakaze msimu wa mwaka 2019/2020.

“Tulifanya makosa kidogo msimu uliopita hayo yamepita na sasa tumegundua pale tulipokwama msimu ujao hatutakwama na ripoti imetua mezani tunaifanyia kazi,” amesema Bwire.
SOMA NA HII  MFEREJI HUU NDIO CHANZO CHA KUPIGWA CHINI ZLATKO, UNAPASWA UZIBWE