Home Uncategorized NAMUNGO KUSAJILI WACHEZAJI 20

NAMUNGO KUSAJILI WACHEZAJI 20

KOCHA wa Namugo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa watabaki na wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza kwa kuheshimu mchango wao wa kuipambania timu.

Akizungumza na Salehe  Jembe, Thiery amesema kuwa kwa sasa wameanza kufanya mazungumzo na wachezaji wao waliopandisha kikosi.

“Kwa sasa tumeanza mazungumzo na wachezaji walioipandisha timu kwanza kabla ya kufanya maamuzi mengine, lengo ni kusuka kikosi chenye nguvu na tutaongeza wachezaji wengine wenye uzoefu,” amesema.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBAO FC UWANJA WA TAIFA ALLY SALIM NDANI