Uncategorized

EYMAEL AKUTANA NA RUNGU LA TFF, YAMKAMUA MILIONI 8

admin August 3, 2020 11:47 am

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungua miaka miwili aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael kujihusisha na masuala ya soka Tanzania.

Mbali na kufungiwa miaka miwili pia anatakiwa kulipa faini ya Shilingi milioni 8.

Yote haya ni kutokana na makosa yake ya ubaguzi pamoja na uchochezi ambayo aliyafanya baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Lipuli uliochezwa Julai 26 Uwanja wa Samora Iringa.

Eymael kwa kosa hilo alifutwa rasmi kazi na Yanga, Julai 27 na kwa sasa yupo zake Ubelgiji.

CHAMA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA NA MILIONI MOJA KUTOKA SportPesa, AZITOA KWA YATIMA MWINGINE ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC BAADA YA KUKAMILISHA MASUALA YA VIPIMO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply