Uncategorized

CHAMA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA NA MILIONI MOJA KUTOKA SportPesa, AZITOA KWA YATIMA

admin August 3, 2020 9:47 am

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba leo Agosti 3 amekabidhiwa zawadi ya Shilingi milioni moja pamoja na tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara Tanzania. 

Tuzo hiyo alipewa na wadhaminni wakuu wa Klabu ya Simba,  SportPesa ambao waliendesha mchakato mzima wa kusaka tuzo kwa wachezaji wao.

Chama amesema kuwa fedha hizo zote anazitoa kwa ajili ya yatima kwa kuwa wana mahitaji makubwa kuliko yeye ambaye kwa sasa anaendelea kupambana.

Ndani ya Ligi Kuu Bara, Chama alifunga mabao mawili na pasi mbili za mabao kati ya 78 ambayo ymaefungwa na Simba msimu wa 2019/20.

WAKATI WA USAJILI, MIKATABA IWE MWONGOZO WA MAISHA YA BAADAYE EYMAEL AKUTANA NA RUNGU LA TFF, YAMKAMUA MILIONI 8

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply