KOCHA wa Azam FC, Etiene Ndayiragije amesema kuwa anahitaji kuboresha kikosi na hesabu zake ni kwenye kuongeza wachezaji wakali wenye uwezo.
Ndayiragije amelamba mkataba wa kuionoa Azam FC akichukua mikoba ya Hans Pluijm kwa kandarasi ya miaka miwili.
“Kutokana na malengo ambayo yapo kwa sasa kazi kubwa itakuwa ni kutengeneza kikosi imara, nina imani hilo linawezekana kutokana na uhitaji ambao upo hivyo kwa kuanza nitaanza na wachezaji kwanza kisha mengine yatafuta.
“Nikifanikiwa kuboresha kikosi itanifanya nifanye kazi kwa wepesi hasa ukizingatia ni timu kubwa na ina kila kitu, hilo linawezekana kikubwa sapoti kwa mashabiki,” amesema.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.