Uncategorized

Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni…

admin June 18, 2019 12:26 pm

Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga Mwinyi Hajji yupo katika rada za wana “Kino Boys” KMC ili kukiimarisha kikosi chao.

Mwinyi Haji tayari amemaliza mkataba wake na Yanga na mpaka sasa uongozi wa Yanga upo kimya huku nafasi yake akiwepo Gadiel Michael na pia akiongezwa Mrundi Sibomana hivyo kuzidi kuweka ufinyu wa nafasi katika klabu ya Yanga

The post Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni… appeared first on Kandanda.

Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20 YANGA YASIMAMISHA ZOEZI LA USAJILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply