Uncategorized

NI VITA!! USAJILI MWINGINE UTAKAOSIMAMISHA NCHI SIMBA HUU HAPA – VIDEO

admin June 21, 2019 9:01 pm


Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.

Timu hiyo imepanga kufanya usajili bab kubwa katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Bara.

Simba hadi sasa imewasajili wachezaji wawili ambao ni Beno Kakolanya aliyekuwa Yanga na Kennedy Juma wa Singida United.

NAMNA HAJI MANARA ALIVYOWAONEA GERE YANGA KISA ENEO – VIDEO NYIMBO MAALUM ALIYOIMBIWA HAJI MANARA NA YANGA KISA KUOMBA KIWANJA HII HAPA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply