Uncategorized

UGANDA YAITWANGA CONGO YA ZAHERA 2-0 AFCON, OKWI ATUPIA

admin June 22, 2019 4:40 pm


Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.

Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa Patrick Kaddu dakika ya 14 na Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 48.

Ushindi wa Uganda unaifanya ikae kileleni mwa kundi A ikiwa na timu zingine za Misri na Zimbabwe.

Msimamo unaonesha Uganda ipo kileleni, Misri iliyoachwa idadi ya mabao ikishika nafasi ya pili wakati Zimbambwe iliyofungwa bao 1-0 na Misri jana ikiwa ya tatu na namba nne ikishika Congo.

TAZAMA HAPA LIIVE MECHI YA CONGO DHIDI YA UGANDA – AFCON 2019 KAMA UNA MTOTO MDOGO…HILI LA DStv LINAKUHUSU…ALADDIN INAKUJIA KWAKO KWA MSELELEKO ULE ULE WA MAMBO MOTO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply