Uncategorized

EXCLUSIVE: KAPOMBE AONGEZA MIAKA MIWILI MIWILI SIMBA

admin June 27, 2019 10:18 am


Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo.

Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina ya klabu ya mchezaji kuendelea kutoa huduma kwa miaka miwili ijayo.

Kapombe ambaye msimu uliomalizika hivi karibuni haukuwa mzuri kutokana na kusumbuliwa na majeruhi atakuwa mmoja wa wachezaji watakaoendelea na Simba msimu ujao.

Simba wameendelea kuwaongezea mkataba wachezaji wao ambao wameshamaliza na wanahitaji kuwa nao kwa sasa.

Mimi ni shabiki wa Mtibwa na siyo Simba-Juma Kaseja JAGUAR AFIKISHWA MAHAKAMANI, ATAENDELEA KUSOTA RUMANDE KAMA KAWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply