MBIO ZA KIATU CHA DHAHABU HIZI HAPA
Wachezaji watano kutoka Mataifa mbalimbali wanaopewa nafasi ya kushinda kiatu cha ufungaji bora wapo tayari. Je wewe upo tayari kuchukua ushindi na Meridianbet kwenye Kombe la Dunia hili?
Tukianza na Lamine Yamal ambaye ni Mhisapania yeye anapewa nafasi kubwa ya kuondoka na kiatu cha ufungaji bora. Hispania ni moja ya timu ambayo inapewa nafasi kubwa ya kufanya vyema kwenye michuano hii baada ya kuchukua taji la Euro.
Ukubwa na ubora wa wachezaji ambao wanao chini ya kocha mkuu Luis de la Fuente unawapa nafasi ya wao kufika mbali. Wana wachezaji kama Gavi, Pedri, Fabian Luiz, Dani Olmo, Rodri, na wengine kibao wanaweza kufanya Lamine aondoke na kiatu. Lamine kuondoka na kiatua hicho ufungaji bora amepewa ODDS 15. Beti sasa.
Kwa upande wa Erling Haaland kutoka Norway anapewa nafasi kubwa ya kuchukua tuzo hiyo akiwa na timu yao ambayo mwaka huu imefuzu kucheza Kombe la Dunia baada ya miaka mingi sana. Haaland ameendelea kuonesha ubora wake akiwa na timu yake ya Manchester City baada ya kuchukua kiatua cha ufungaji kwenye ligi kuu ya Uingereza.
Timu ya Taifa ya Norway ina wachezaji wenye vipaji vikubwa sana wakiwemo Odegaard, Solorth, na wengine wengi ambao wana vipaji vikubwa. 15 ndio ODDS ambazo Haaland amepewa kuwa mfungaji bora wa michuano hii. Ingia na ujisajili sasa.
Mpunga mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pia Lionel Messi ambaye ni Muargentina na mabingwa watetezi wa Kombe hili pia anapewa nafasi ya 3 kuchukua kiatua cha ufungaji bora msimu huu. Kwenye Kombe la Dunia la 2022 Messi alichukua tuzo ya mchezaji bora wa mashindano kutokana na ubora ambao alionesha kwenye mashindano hayo.
Nahodha huyo wa Argentina anapewa nafasi hiyo kutokana na kuwa timu yao inapewa pia nafasi kubwa ya kufanya vizuri lakini pia uwezo wa wachezaji kama Lautaro, Julian Alvarez, De Paul nawengine kunampa Messi nafasi kubwa ya kufunga ambao huku yeye pia akiwa ni mtengenezaji wa maboa hayo. ODDS za Messi kuchukua tuzo hiyo ni 13. Je wewe nafasi hiyo ya kuchukua kiatu bora unampa nani?. Beti hapa.
Mshambuliaji wa Bayern Munchen Harry Kane ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kuondoka na kiatua hicho cha ufungaji bora kwenye Kombe hili la Dunia akiwa na ODDS 8.00. Akiwa na timu ya Taifa ya Uingereza Kane ni moja ya washambuliaji hatari sana kutokana na uwezo wake wa kupachika mabao.
Tayari akiwa na Bayern msimu huu amefunga mabao 61 hivyo kuwa kwake fiti kutampa nafasi kubwa ya kufanya vyema chini ya Thomas Tuchel. Mchezaji huyo pia ana uzoefu na michuano hii kwani tayari alishapachika mabao mengi kwenye michuano hii na mpaka sasa yeye ndiye kinara wa ufungaji bora Uingereza akiwa na mabao 78. Suka jamvi lako kwa Kane sasa.
Kylian Mbappe kutoka Ufaransa na anayekipiga pale Real Madrid. Mbappe atakuwa tayari kuongoza safu ya ushambuliaji chini ya kocha mkuu Didier Deschamps huku mchezaji huyo akiwa tayari ana uzoefu mkubwa kwenye mashindano haya akiwa amefunga mabao mengi kwenye mashindano haya.
Pia Ufaransa ni moja ya timu ambazo zinapewa nafasi kubw ayakufanya vyema kwenye mashindano hay hivyo, Kylian akisaidiana na wenzake kina Dembele, Doure, Olise na wengine anaweza akachukua kiatua hiko huku Meridianbet wakimpa ODDS 7.00. Je Mbappe ataondoka kinara wa ufungaji bora?. Jisajili hapa.