Aliyekuwa Golikipa wa Yanga na ambaye kwa sasa amesaini katika klabu ya Simba Beno Kakolanya amefunguka usajili wake Simba SC na kilichofanya amesaini katika klanbu hiyo.
Beno amesema kuwa Simba ni klabu Kubwa pia ina kikosi kizuri na ni timu ambayo imekubaliana nayo katika maslahi na kusaini.
Kakolanya amesaini katika klabu ya Simba hivi karibuni akitokea yanga ambapo alikua aitumikii timu yake kwa takribani nusu msimu na msimu ujao ataitumikia timu ya Simba SC.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.