Home Uncategorized MCHEZAJI MWINGINE AONDOKA SIMBA

MCHEZAJI MWINGINE AONDOKA SIMBA


Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amewaaga mashabiki wa klabu ya Simba kwa muda wote waliokuwa nae akiwa na timu hiyo na sasa anaelekea klabu nyingine.

Taarifa zinadai uongozi wa Simba umegoma kumuongezea mktaba mchezaji huyo baada ya kushindwa kufikia makubaliano kwa pande zote mbili kwenye baadhi ya maeneo (ikiwemo fedha) nakumruhusu akatafute maisha sehemu nyingine kamamchezaji huru.

Haruna amesema muda ukifika atawajulisha niwapi anaelekea





SOMA NA HII  KOCHA STARS: UWEZO WA WACHEZAJI UNAONGEZEKA KILA SIKU