ZAHERA HUYU HAPA AMETUA NAMUNGO
Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Namungo kutokea mkoani Lindi ilikuwa inanolewa na kocha Denis Kitambi ambaye ametimkia Geita…
Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Namungo kutokea mkoani Lindi ilikuwa inanolewa na kocha Denis Kitambi ambaye ametimkia Geita…
Klabu ya Singida Fontaine Gate imewaadhibu vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, JKU FC ya Zanzibar jumla ya magoli 4-1 katika mchezo wa kombe la Mapinduzi…
Klabu ya Simba kwenye dirisha hili la usajili inahitaji kufanya maboresho kwa kufanya maingizo ya nyota wapya wa kigeni watakaokuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chao.…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ amegomea mkataba wa mwaka mmoja, huku akiutaka Uongozi wa Simba SC kumpa mkataba wa miaka miwili. Saido…
Zimebaki siku chache sana kabla ya kuanza kwa fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika huko Ivory Coast, mwakani kuanzia Januari 13 hadi Februari…
Mshambuliaji wa Asec Mimosas, Karamoko Sankara hatimaye amefunguka dili lake na Yanga huku akisema kuwa amekuwa akiwapigia simu wachezaji wa sasa wa Yanga, Pacome Zouzoua…
Winga wa zamani wa Simba, Augustine Okrah sasa ni rasmi ametua Yanga, huku taarifa za ndani zikidaikuwa amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo.…
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amewatega wachezaji wake kwa kuwaambia kuwa mchezaji atakayeshindwa kuonyesha kiwango bora katika Kombe la Mapinduzi, basi safari itamkuta…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kiungo wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TourĂ© atoa utabiri wake wa Timu za Taifa zenye nafasi ya kushinda kombe la Mataifa barani…