Habari za michezo
YAYA AJA NA UTABIRI HUU USHINDI AFCON
Staff Desk
December 29, 2023
2:41 pm
Kiungo wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya Touré atoa utabiri wake wa Timu za Taifa zenye nafasi ya kushinda kombe la Mataifa barani Afrika AFCON 2024 Nchini Ivory Coast.
Yaya ambae ni raia wa Ivory Coast amezitaja timu tano ambazo anaona zina nafasi ya kufanya kweli mwakani.
Yaya ametaja mataifa kama;
Ivory Coast
Senegal
Morocco
Guinea-Bissau
Africa Kusini.
Unadhani Yaya Toure yuko sahihi? Tupe maoni yako
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.