Home Uncategorized BABU TALE: ALIKIBA HANA HELA YA KULIPA ‘BODIGADI’, ALIFANYA ‘SHOO’ CLUB NDOGO Uncategorized BABU TALE: ALIKIBA HANA HELA YA KULIPA ‘BODIGADI’, ALIFANYA ‘SHOO’ CLUB NDOGO By admin - June 28, 2019 282 0 Meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka kuhusu wasanii wa WCB kuwa na walinzi na kusema anayepinga kuwa na walinzi hana pesa ya kuwalipa.