Uncategorized

LIPULI WAMEAMUA KWELI, SASA WANAKUJA NAMNA HII

admin June 9, 2019 2:51 pm

UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kusuka kikosi makini kitakachojiuza chenyewe kwa kuwavutia wawekezaji msimu ujao.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli, Clement Sanga amesema kuwa changamoto ya ukata imewapa taabu sana hivyo kwa sasa wamepata somo litakalowafanya wajipange kisawasawa.

“Ukizungumzia msimu wetu wa 2018/19 hatukuwa njema hasa kwa upande wa fedha, sasa tumejipanga kuona msimu ujao tunakuwa na mfumo bora kwenye uendeshaji na kuwa bora zaidi kwenye suala la uchumi.

“Kila mdau aliyetupa sapoti tunasema shukrani ila kwa msimu wetu mpya tutakuwa tofauti kidogo na nguvu zetu zitakuwa kwenye uwekezaji makini,” amesema Sanga.

AZAM FC, SIMBA NA YANGA WAGOMBANISHWA NA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAGERA SUGAR WACHIMBAJI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI GAIRO – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply