Uncategorized

Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia?

admin June 7, 2019 7:27 am

Uongozi wa KMC umekiri kuachana na kocha wao Etienne Ndayiragije, baada ya mazungumzo baina ya pande mbili.

Taarifa kutoka KMC inasema kulikuwa na mazungumzo ya pande mbili ili kukubaliana kumpa mkataba mwingine, kitu amabacho Etiene aliomba kutokuwa na mkataba mpya ili akapambane na changamoto nyingine.

Etiene aliingoza KMC katika msimu wake wa kwanza Ligi Kuu Tanzania bara, na kushika nafasi ya nne. Na tayari timu hiyo imepata nafasi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao.

The post Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia? appeared first on Kandanda.

KMC SASA KUSAJILI WA KIMATAIFA BEKI WA ZAHERA YANGA MGUU NJE MGUU NDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply