Uncategorized

BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED

admin July 2, 2019 5:34 am

AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na timu hiyo.


Nyota huyo amejiunga na kikosi hicho akitokea Crystal Palace na ametambulishwa rasmi kuitumikia timu hiyo msimu ujao.

“Nimefurahi kutua Manchester United, wakati nikiwa kijana nilikuwa natamani sana siku moja nitue hapa na kocha Solskajaer ni mmoja wa watu waliosababisha mimi nikaja hapa,” amesema.
SABABU YA RUVU SHOOTING KUFANYA KLINIKI KWA WACHEZAJI YATAJWA MANULA AVUNJA REKODI YA DAU USAJILI SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply