Inaelezwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuacha na Kocha Emmanuel Amunike aliyekuwa anainoa Taifa Stars.
Hatua hiyo imekuja kufuatia kuboronga mechi za mashindano ya AFCON yanayoendelea Misri.
Taarifa za ndani zinasema TFF hivi sasa ipo kwenye mchakato wa kumpata Mwalimu mbadala wa muda atakayeinoa Stars kuelekea michuano ya CHAN.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.