Uncategorized

SIMBA KUKWEA PIA MPAKA SAUZI KUWEKA KAMBI

admin July 7, 2019 8:32 am

IMEELEZWA kuwa kambi ya timu ya Simba msimu huu itakuwa nchini Afrika Kusini kuanzia Julai 15.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Cresentius Magori amesema kuwa mpango wa kuweka kambi ni maalumu kwa ajili ya kukiaanda kikosi vema kwa ajili ya michuano ya kimataifa na Ligi Kuu Bara.

“Afrika Kusini tunakwenda kuweka kambi, kuanzia Jumatatu wachezaji wanatakiwa kufika kambini na wale wa nje wanatakiwa kuripoti mapema ili kuanza kushughulikia masuala ya visa,” amesema.

MANCHESTER UNITED WAIWEKEA NGUMU INTER MILAN KWA LUKAKU MASHABIKI WA MISRI BADO HAWAAMINI, MBIO ZA SALAH ZAFIKA UKINGONI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply