Uncategorized

SABABU YA YANGA KUWEKA KAMBI MAPEMA MORO YATAJWA

admin July 9, 2019 9:13 am

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umeanza maandalizi ya Ligi mapema ili kuandaa kikosi kitakacholeta ushindani msimu ujao.


Akizungumza na Saleh Jembe, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kuwa kwa sasa wachezaji wameanza kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

“Wachezaji wa Yanga kwa sasa wameingia kambi ambayo inafanyika Morogoro na ni maalumu kwa ajili ya kuandaa kikosi bora kitakacholeta ushindani msimu ujao,” amesema.

Yanga msimu uliopita walimaliza Ligi Kuu Bara wakiwa nafasi ya pili ambayo imewapa tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa baada ya Simba kufanya vema michuano hiyo.
MO SALAH NA SAMATTA KUWATAZAMA WABABE HAWA WALIOTINGA ROBO FAINALI VIDEO: KUAGWA KWA WAFANYAKAZI WA AZAM WALIOFARIKI KWA AJALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply