Uncategorized
MO SALAH NA SAMATTA KUWATAZAMA WABABE HAWA WALIOTINGA ROBO FAINALI
BAADA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kilicho chini ya nahodha Mbwana Samatta kufungasha virago kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri na wenyeji pia Misri wakiongozwa na mshambuliaji wao Mohamed Salah kufungashiwa virago watawatazama hawa hapa waliotinga hatua ya robo fainali:-
Julai 10
Benin v Senegal
Nigeria v Afrika Kusini
Julai 11
Algeria v Ivory Coast
Madagascar v Tunisia

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.