Uncategorized

WACHEZAJI WATATU WAONDOKA SIMBA

admin July 15, 2019 9:04 pm


UONGOZI wa Namungo C upo katika mikakati ya mwisho kuhakikisha inawapata wachezaji watatu kwa mkopo kutoka katika klabu ya Simba.

Taarifa za ndani ambazo Spoti Xtra imepata ni kwamba Mwenyekiti wa klabu ya Namungo, Hassan Zidadu ametuma maombi ya kupata wachezaji watatu ambao wanamudu kucheza sehemu ya
kiungo na ulinzi.

“Namungo wameomba wachezaji watatu kutoka simba kwa mkopo ambao wanamudu kucheza kama kiungo na nafasi ya beki,” kilisema chanzo hicho.

Miongoni mwa wachezaji ambao Spoti Xtra linajua kuwa Namungo wamewaomba kutoka simba ni Mohammed Ibrahim ‘Mo

HUYU DEO KANDA SI WA MCHEZO AISEE, TAZAMA MAKALI YAKE HAPA UJIONEE – VIDEO ISHU YA VITA YA NAMBA NDANI YA SIMBA, GADIEL MICHAEL AMUACHIA MBELGIJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply