Home Uncategorized AZAM FC V TP MAZEMBE JINO KWA JINO LEO

AZAM FC V TP MAZEMBE JINO KWA JINO LEO


IDDY Naldo mshambuliaji wa Azam FC dk 28 anairejesha mchezoni timu yake baada ya kusawazisha bao 1-1 bao lililofungwa na Ipammy Giovany dk ya 21.

Kwa sasa ni kipindi cha pili ambapo Azam FC wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe hili ndio wawakilishi pekee wa Tanzania baada ya KMC kuondolewa kwenye hatua za awali wakiwa na pointi nne.

SOMA NA HII  UONGOZI WA YANGA WAKANUSHA ISHU YA KUMTUHUMU MKUU WA MKOA WA DAR