Uncategorized HILI NDILO KUNDI LA TANZANIA KUFUZU AFCON CAMEROON 2021 admin July 18, 2019 7:26 pm Timu ya Taifa ya Tanzania imeanzia hatua ya makundi ya kuwania kufuzu Fainali ya Mataifa ya Afrika mwaka 2021 itakayofanyika nchini Cameroon. Tanzania imepangwa kundi J ikiwa na timu zifuatavyo Tunisia, Libya na Equatorial Guinea.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.