Uncategorized

YANGA YAZIDI KUWA YA MOTO, YAITWANGA MORO KIDS 2-0, BALINYA ATUPIA

admin July 19, 2019 11:02 am


Mabao ya Balinya na Paul Godfrey yameiwezesha Yanga kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Moro Kids leo mjini Morogoro.

Bao la Balinya limepatikana kwa njia ya penati

Yanga imefanikiwa kupata ushindi huo ukiwa ni mchezo wa kirafiki uliomalizika muda mchache uliopita.

Ushindi huo unakuwa wa pili mfululizo kwa Yanga baada ya mechi ya kwanza kushinda mabao 10-1 dhidi ya Tanzanite Academy.

Kikosi hicho kimeweka kambi mjini Morogor ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya ujao kunako Ligi Kuu Bara.

JUMA KASEJA AFICHUA SIRI YA KUDUMU KWENYE UBORA WAKE IGHALO SHUJAA WA NIGERIA ANAYENUKIA KUTWAA KIATU CHA UFUNGAJI BORA AFCON

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply