Uncategorized

KUMBE! CAF NDO CHANZO ZA VIPORO BONGO

admin July 20, 2019 1:12 am


UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa sababu kubwa zilizofanya msimu uliopita kuwe na viporo vingi kwa timu ni kubadilishwa kwa ratiba ya michuano ya CAF.

Wilfred Kidao Katibu Mkuu wa TFF amesema kuwa :”Changamoto kubwa kwenye ratiba ya ligi ilitokana na CAF kubadilisha kalenda yake ya mashindano wakati ligi yetu ilikuwa tayari imeanza,”.

Msimu mpya wa ligi unatarajiwa kuanza Agosti 17 mwaka huu kwa mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba vs Azam FC kabla ya mechi ya ufunguzi kupigwa Agosti 23 kati ya Simba vs JKT Tanzania uwanja wa Taifa.

KAGERA SUGAR YAMVUTIA KASI MUIVORY COAST KUMRITHI KASSIM KHAMIS DIDA: MANULA ALINIPA HASIRA YA KUPAMBANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply