Uncategorized

MLINDA MLANGO MPYA WA YANGA KUTOKA KENYA ATIA TIMU BONGO

admin July 21, 2019 2:12 pm


HATIMAYE, Farouk Shikalo mlinda mlango mpya wa kikosi cha mabingwa wa kihstoria, Yanga amewasili nchini Tanzania.

Shikalo amewasili Dar akitokea nchini Kenya ambapo alikuwa kwa mapumziko ya muda baada ya kukamilisha majukumu ya timu ya Taifa ya Kenya pamoja na klabu yake ya Bandari iliyokuwa inashiriki michuano ya Kagame.

 Amepokelewa na Kaimu Katibu wa Yanga, Dismas Ten, atajiunga na timu kambini Morogoro muda wowote kuanzia sasa.

SIMBA: LAZIMA TUTUSUE KIMATAIFA NYOTA SABA MATATA WAMPASUA KICHWA MBELGIJI WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply