Uncategorized

TFF YATIA TIMU KIGALI KUIPA SAPOTI AZAM FC

admin July 21, 2019 1:32 pm

WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameitaka Ttmu ya Azam FC kufanya vema kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Kagame itakayochezwa leo dhidi ya KCCA.

Karia amefika kwenye kambi ya Azam Fc iliyopo nchini Rwanda Hotel ya Hilltop akiongozanna na Kaimu Makamu wa TFF Athuman Nyamlani na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Msafiri Mgoyi.

Karia pia alitumia fursa hiyo kufikisha salamu mbalimbali alizopewa na viongozi wa Serikali, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ambao wameitakia mkono wa kheri timu hiyo kwa kufanikisha ushindi na hatimaye kupeperusha vema bendera ya Tanzania.

TULIINGIA DARASANI KWA TAMBWE, SASA NI ZAMU YA BALINYA, URIKHOB KUTUPA KITABU KINGINE MASHABIKI YANGA WAPEWA SOMO KUELEKEA WIKI YA WANANCHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply