Uncategorized

YANGA: MSIMU UJAO TUTAFANYA MAAJABU

admin July 21, 2019 8:42 am

MLINDA Mlango wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Metacha Mnata amesema kuwa msimu ujao lazima wapambane kufikia malengo ya timu kutokana na mipango waliyojiwekea.

Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao na hesabu zao kubwa ni kutwaa ubingwa uliopo mikononi mwa Simba.

“Kazi ipo msimu ujao ukizingatia kwamba kila timu imefanya usajili makini ni wakati wetu pia kuonyesha ushindani, imani yetu ni kubwa na tutafanya makubwa msimu ujao,” amesema.

SIMBA YATUMA UJUMBE MZITO KWA YANGA AZAM FC WABABE WA WACONGO KAZINI LEO FAINALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply