Uncategorized

CAF YATIBUA PROGRAMU YA SIMBA AFRIKA KUSINI

admin July 22, 2019 12:03 pm


PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kutokana na ratiba ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kutoka ni lazima afanye mabdiliko kwenye ratiba zake za maandalizi.

Ratiba ya michuano ya kimataifa ya awali inaonyesha kuwa Simba itacheza mchezo wake wa awali kati ya Agosti 9/10/11 na timu ya UD DO Songo ya Msumbiji.

“Mchezo huu ni muhimu sana tunatakiwa kubadili kidogo programu yetu sababu tunatakiwa kuwa tayari kwa hiyo michezo miwili. 

“Hatukutarajia haya kala hivyo imekuwa mshangao kwetu hatukutarajia iwe hivi ila hamna namna, tunahitaji kubadili ratiba yetu ili kuwa tayari kwa michuano mikubwa,” amesema.

Simba imeweka kambi nchni Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti 23.

NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply