Uncategorized

WATAU WAPIGWA STOP YANGA MAZIMA

admin July 23, 2019 9:32 am


INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuwasimamisha nyota watatu wa kikosi cha kwanza kwa kushindwa kuripoti kambini.

 Andrew Vincent ‘Dante’, Juma Abdul na Kelvin Yondani ni wachezaji wa Yanga ambao hawajajiunga na timu kambini Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Habari zinaeleza kuwa wachezaji hao wanadai stahiki zao jambo ambalo limewakwamisha kufika kambini huku wao wakieleza kuwa sabaabu kubwa ni matatizo ya kifamilia. 

HIKI HAPA KIKOSI BORA CHA AFCON KWA WACHEZAJI WANAOCHEZA NDANI YA AFRIKA WAARABU WA MISRI WAPIDUA MEZA KIBABE MBELE YA SIMBA KWA NYOTA HUYU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply