Uncategorized

CHAMA NAYE AANZA MAKEKE YAKE LEO SIMBA IKIMPIGA 4-1 PLATINUM STARS

admin July 24, 2019 11:11 am

CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo amefanya yake wakati Simba ikiibuka kidedea kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Platinum Stars.

Mchezo huu ambao ni maalumu kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao ni wa pili kwa Simba kucheza baada ya kuweka kambi nchini Afrika Kusini.

Chama amefunga mabao mawili dakika ya 11, 58 na mtupiaji mwingine ni Shiboub aliyefunga kwa mkwaju wa penalti dakika ya 13 huku Mzamiru Yassin akifunga bao la usiku dakika ya 87.

NAMUNGO FC YAFANYA BIASHARA NA BAROLA WA BIASHARA UNITED YANGA TAFADHARI MALIZENI HII HADITHI YA YONDANI…..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply