Uncategorized

NAMUNGO FC YAFANYA BIASHARA NA BAROLA WA BIASHARA UNITED

admin July 24, 2019 10:46 am


NURDINE Barola aliyekuwa mlinda mlango wa kikosi cha Biashara United amesajiliwa na timu ya Namungo FC kwa kandarasi ya mwaka mmoja.

Barola alifanya kazi na Kocha Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thiery kabla ya kutimuliwa ndani ya kikosi cha Biashara.

Anaungana na bosi wake wa zamani ambaye ndiye aliipandisha Namungo FC kwenye Ligi Kuu Bara kutoka Ligi Daraja la Kwanza.

BEKI YANGA KUTIMKIA LIPULI FC CHAMA NAYE AANZA MAKEKE YAKE LEO SIMBA IKIMPIGA 4-1 PLATINUM STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply