Uncategorized

BEKI YANGA KUTIMKIA LIPULI FC

admin July 24, 2019 9:31 am

 ANDREW Vincent ‘Dante’  beki wa Yanga anatajwa kujiunga na kikosi cha Lipuli chenye maskani yake mkoani Iringa.

Habari zinaeleza kuwa sababu kubwa ya nyota huyo kujiunga na klabu hiyo ni kutokuwa na maelewano mazuri na mabosi wa timu yake ya Yanga hasa kwenye masuala ya maslahi.

Mpaka sasa bado Dante hajajiunga na timu kambini Morogoro huku habari za ndani zikeieleza kuwa tayari amesimasisha na uongozi wa Yanga.

Ofisa Habari wa Lipuli, Festo Sanga amesema kuwa klabu ya Lipuli ni ya watu wote hivyo hawana hiyana kwa mchezaji yoyote.

Cyupo njiani kujiunga na klabu ya Lipuli Fc ya Iringa :
Walipofikia sasa ni suala la maslahi binafsi ya mchezaji mwenyewe kama mazungumzo yakienda vizuri mchezaji huyo atajiunga na wana Iringa hao

SIMBA KUENDELEA KUTESTI MITAMBO AFRIKA KUSINI NAMUNGO FC YAFANYA BIASHARA NA BAROLA WA BIASHARA UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply