Uncategorized
RUVU SHOOTING YAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa tayari timu imeingia kambni kwa ajili ya kujiaanda na maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.
Makamu Mwenyekiti wa Ruvu Shooting, Ezekiel Mtani amesema kuwa tayari wamewahi kuingia kambini kujenga muunganiko imara.
“Ligi inakaribia kuanza, tayari tumeanza maandalizi kwa ajili ya kufanya vema msimu ujao tukiwa chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga,” amesema.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.