Uncategorized

BARCELONA YATOA LISTI YA WACHEZAJI SITA KWA PSG KUMPATA NEYMAR JR

admin July 25, 2019 7:01 am

BARCELONA wameamua kutoa listi ya wachezaji sita kwa PSG ili ikubai kukamilisha dili la kumpata mchezaji wao wa zamani, Neymar Jr.

Inaelezwa kuwa Barcelona wameamua kufanya hivyo ili kuwashawishi PSG wakubali ofa yao ya pauni milioni 90 sawa na bilioni 257.

Wachezaji ambao wamewekwa kwenye listi ni pamoja na Philippe Coutinho, Ousmane Dembele, Ivan Rakitic, Nelson Semedo na Malcom, mchezaji wa sita hakujulikana mara moja.

Neymar ameweka wazi kuwa anataka kusepa na PSG inasemekana imekubaliana na maombi ya staa huyo ila haitaki ofa ndogo wao wanataka dau lao la pauni milioni 198 (bilioni 567) ambazo walizitoa kwa Barcelona mwaka 2017.

YANGA YAPANIA KUIFANYA SIKU YA WANANCHI YA KIPEKEE ZAIDI MBELGIJI WA SIMBA AJA NA MKAKATI KABAMBE KWA WACHEZAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply